
Picha hii tulipigwa na binti yetu Ndidziwa mwaka jana tukiwa sehemu sehemu .
By the way jana nilipata kitabu cha Mwl Nyerere cha Ujamaa: Essays on Socialism kitanisaidia kwenye mswada wa kiada ninaoufanyia kazi kuhusiana na kupigania uhuru wa kielimu na kiuchumi.
Umetisha comando safi sana
ReplyDeleteAnon nakushukuru kwa complements zako mkuu. Karibu tena.
ReplyDeleteKula vyako halali Bravo Mwalimu..!
ReplyDeleteAnon nakushukuru. Huyo kweli ni halali yangu nami yake. Ndiyo raha ya kufuata maadili badala ya madili kama serikali ya jamaa yetu Kikwete. Sijui Rahma Kharoos wake ameishia wapi baada ya kumuandama hadi wakamficha?
ReplyDeleteMnnetokezea mwenyewe ama kweli picha ya wiki..Huyo shangazi atakuwa mpiga picha mzuri sana!
ReplyDeleteDa wa mimi Yasinta asante kwa kutupa complements japo sijui maana ya kutokezea.
ReplyDelete