Walioko madarakani mkiabudiwa kama miungu au sanamu kumbukeni vijana hawa hata baba zao ambao maiti zao zinaoza jangwani. Ungewaambia wawili hawa baba na wana kuwa kuna siku wale waliowaona kama inzi wangeweza kuwaua au kuwaweka kizuizini wangeita madaktari wao kupima akili yako kama walikupenda sana. Vinginevyo wangewambia mbwa-watu wao kukufutilia mbali wasijue na wao ni binadamu kama wewe. Leo nimekumbuka hawa jamaa ili kujifua nisijione big deal wakati si chochote si lolote. Baada ya kuona post hii nambie umejisikiaje?
The Curse for Salvation
Saturday, 9 June 2012
Kweli binadamu si chochote wala lolote, wamkumbuka huyu?
Walioko madarakani mkiabudiwa kama miungu au sanamu kumbukeni vijana hawa hata baba zao ambao maiti zao zinaoza jangwani. Ungewaambia wawili hawa baba na wana kuwa kuna siku wale waliowaona kama inzi wangeweza kuwaua au kuwaweka kizuizini wangeita madaktari wao kupima akili yako kama walikupenda sana. Vinginevyo wangewambia mbwa-watu wao kukufutilia mbali wasijue na wao ni binadamu kama wewe. Leo nimekumbuka hawa jamaa ili kujifua nisijione big deal wakati si chochote si lolote. Baada ya kuona post hii nambie umejisikiaje?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment