MIAKA TISA TANGU KUFARIKI RAFIKI YANGU JOHN WANDIBA KIJANA WA MJINI NA BAUNSA WA UHAKIKA
Hayati John Wandiba akiwa na Yvonne Chakachaka alipotembelea Tanzania enzi zile. Wangapi wanamkumbuka njemba huyu machachari? Nadhani akina Santana bado wanadunda. RIP JOHN
No comments:
Post a Comment