The Chant of Savant

Sunday 26 August 2018

Miaka 18 ya kifo cha Dindo Yogo

Kwa wapenzi wa Sebene bila shaka bado wanamkumbuka gwiji wake Dindo Yongo Mabeli aliyefariki tarehe 23 Agosti, 2000. Leo tumemkumbuka kama wapenzi wake bila kuwasahau wengine waliopotea kwenye muda kama huu kama vile Jean de Dieu Makiese (Madilu) na wengine wengi.

No comments: