Thursday, 11 February 2016

Wikendi hii natulia na Ondarata toka Okakarara Namibia kwa ndugu zangu akina Toivo


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Naungana nawe na hawa ndugu zetu wa Namibia akina Toivo ni raha sana kusikiliza mziki hata kama uelewi ila ule mlio tu unaleta utulivu fulani.

NN Mhango said...

Da Yasinta,
Ni kweli miziki hii inatuliza. Hata hivyo, ni vizuri kuonja vionjo vya miziki ya wenzetu ili kuitathmini yetu. Ubarikiwe sana na uwe na wikendi njema huku ukijikinga na baridi wakati huu wa winter kali.