Kudos to President Magufuli

Wednesday, 22 November 2017

Angekuwa Museveni Hapa Angesema Acha Umalaya

2 comments:

Anonymous said...

```Naye akawajibu "Msinililie Mimi, jililieni ninyi na kura zenu, kwa maana hakuna aliyewalazimisha mpange foleni siku ile." Basi wakainamisha nyuso zao kwa huzuni, wala wasiweze kumjibu. Naye akiisha kusema hayo akapita katikati yao akaenda zake bandarini``` *_(Watanzania 5:20)_*
����((����))����

NN Mhango said...

Anon umenena ila umesahau mstari mmoja alioongeza hapa kwa kusema "enyi watoa kula kwa njia ya kura nani aliwaroga kuamini kuwa ningewaletea maendeleo wakati mnayo na mmeyakalia. Kabla ya kujibu, alimchukua kwini wake na kutokomea ikulu wakaendelea kula vinono huku wapika kura wakiendelea kushangaa shangaa" Na hilo ndilo neno la maana.