Kudos to President Magufuli

Thursday, 7 June 2018

Mwenzio anapata ajali wewe unajiselfie kana kwamba huwezi kufa!


Nchini Italia mama mmoja aligongwa na treni. Mtu mmoja anayeonekana kwenye picha, badala ya kuhangaika na uokozi, alihangaika na kujiselfie. Inasikitisha. Sijui hapa mjanja kati ya simu na huyu mtu ni nani. Our phones and other gadgets have become smarter than we are. Instead of using them, they are now using us. Instead of making us safe, we are vulnerable. Instead of making us happy, they have made us sad and sadists who are looking for cheap fame by all means. Too bad. So sad.

No comments: