Thursday, 26 January 2012

Kumbe maisha bora Tanzania yanawezekana!Kibonzo hicho cha Kipanya nadhani kinaweza kuwa na tafsiri nying. Sijui wewe unakitafsirije? Tafsiri yangu ni kwamba watawala wetu wanajali raha zao badala ya maisha yetu- hawatupendi na wanatudharau sana. Yanayotukuta hayawashughulishi na kama yanawashughulisha basi ni kwa kuombea misaada ya kutanulia zaidi na zaidi kwa gharama yetu na vizazi vijavyo. Je kwa mtaji huu kuna haja ya kuwa na watawala wanaokula watu badala ya kuwatumikia?

No comments: