The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Friday, 23 October 2020

WAPINZANI WAMESHINDWA HATA KABLA YA UCHAGUZI


 
Je kweli hawa wana dhamira ya kweli kushinda uchaguzi? Maalim Seif ana jipya gani baada ya kujaribu mara nyingi akiishia kupigwa chini? Je huu ni mwanzo wa kile tulichotabiri kuwa wapinzani watashindwa kabla ya kuingia hata kwenye sanduku la kura? Mbona wanajisababishia kushindwa halafu walaumu?

No comments: