The Chant of Savant

Wednesday 14 October 2020

MIAKA 21 BILA NYERERE

 


Bila shaka watanzania kila mmoja kwa namna yake wanamkumbuka baba wa taifa marehemu Mwl Julius K Nyerere Burito. Gwiji huyu ni kama anaishi japo kimwili alitutoka siku nyingi. Tuzidi kumuombea baba yetu Mwl Nyerere apumzika mahali pema peponi Amina.

No comments: