Sunday, 25 September 2016

Happy Birthday Nkuzi

Leo ilikuwa siku ya kuzawaliwa Nkuzi. Ametimiza miaka sita.
Hatukuwa na mtoko kutokana na kuwanyesha ,mvua hivyo, tumeishia kusherehekea indoors.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

HONGERA SANA NKUZI salamu kutoka kwa shangazi yako...Miaka sita umetimiza leo nakutakia maisha mema, uwe mtoto mtiifu kwa walezi wako. Nanyi wazazi hongera sana kwa kukuza Mwenyezi Mungu azidi kuibariki mikono yenu. Ila kaka na wifi mmemfanyia vibaya bila mtoko eti kisa mvua...kwani hakuna miamvuli?

NN Mhango said...

Da Yasinta salamu zako zimefika kwa mlengwa. Pia tujitetee kuwa mtoko uligoma kutokana na idadi ya vitegemezi. Kumbuka huku baridi ishaanza. Huwa tunawapa ofa ya kuruka na ndege. Lakini kipindi hiki ilishindikana tokana upepo wa fall. Hivyo, tumemuwekea kiporo hadi mwakani inshallah.
Shukrani kwa salamu zako. Wape hi akina Camilla, Erik na shemeji.