Sunday, 1 May 2011

Breaking news! Osama bin Laden auawaHabari zilizotufikia ni kwamba kiongozi wa kundi la kigaidi la Al Qaeda, Osama Bin Laden aliuawa kirahisi nchini Pakistani. Taarifa kutoka ikulu ya Marekani na vyanzo vya habari ni kwamba Osama aliuawa kirahisi na mwili wake uko mikononi mwa serikali ya Marekani. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA

2 comments:

Anonymous said...

Siamini mpaka wakati huu na ninaomba isiwe kweli aishi na awakae kama mwiba moyoni kwa wa marekani.

NN Mhango said...

Hata hivyo thank God Bin Burden si mwiba tena bali historia chafu ya ukatili na ujuha usio kifani. Wengi wamefarijika kusikia habari hii kutokana na alivyoihangaisha dunia akihubiri wendawazimu wake. May he Rest in Hell. RIH Bin Laden bin Burden.