Monday, 9 May 2011

Kikwete na mkewe mbona wanachezewa sana?

Hebu angalia hizo picha hapo juu ulinganishe na ukweli. Inashangaza mke na mume hawako makini kwenye kila wanachofanya. Ajabu ni kwamba hata wanaowadhalilisha au tuseme kuwapima hawajali kuwa kuna macho makali pembeni! Je wahusika wanasukumwa na tamaa na ujinga kiasi cha kupokea madudu kana kwamba hawana macho wala akili? Je hao wasaidizi na wapambe wao wanalipwa kwa kazi gani kama wote ni sawa? Je mtu wa namna hii anafaa kuaminiwa madaraka makubwa kama urais? Hakika aliyohofia marehemu Baba wa Taifa mwalimu Julius Nyerere yanajitokeza kila uchao.

1 comment:

Jaribu said...

Sasa hizi checks zinalipika? Very sloppy. Ungetegemea mtu Rais angepewe check iliyochapishwa, kama anataka kuionyesha. Ujanja wa kujilundikia doctorates, basic reading skills hamna.