The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Wednesday, 24 August 2011

Binadamu anaweza kufanya lolote akiamua

Kuna ukweli unaoanza kujitokeza kuwa binadamu na nyani wana uhusiano wa karibu hata kama si uhusiano wa damu inawezakana uhusiano kitabia. Nani aliamini kuwa binadamu angeweza kufanya kama hawa binadamu wanavyofanya. Kwa taarifa zaidi, BONYEZA HAPA.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Hii nimeipenda na ni nzuri kwa mwili kwani unakuwa shupavu wakati wote ...sijui nami nianze? ooouuuwooo! nimemkumbuka Tasha na Jane:-)