How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Sunday, 17 October 2010

Uwekezaji au Utumwa?



Pichani mwekezaji wa kichina nchini Zambia akifaidi matunda ya utumwa ....sorry...uwekezaji. Habari za karibuni kuhusiana na utumwa huu mpya ni kwamba mameneja wa mgodi mmoja nchi Zambia waliwafyatulia risasi wafanyakazi wa mgodi walioandamana kudai maisha mazuri kazini. Watu 11 walijeruhiwa na hakuna aliyekamatwa.Waliojeruhiwa ni Simon Simwete 28, Abby Siameba 25, Virason Mwanamusiya 24, Madinda Siamubotu 27, Wisbone Simukonda 25, Boston Munakazela 21, Wallen Muntanga 28 na Humphrey Sinuka 24.
Wengine ni Brighton Sianfuno 21, Bowas Syapwaya 21, na Vincent Chengele 20. Tunawaombea wapone haraka. Pia tunaomba faraja kwa familia zao. Huu ndiyo uwekezaji ambao Benjamin Mkapa alisema utajenga uchumi wa kisasa. Kumbe alimaanisha uchumi wa kisasi! Picha kwa hisani ya Afro Spear Think Tank




Picha hii sambamba na ya juu ni mtawala wa Uganda Yoweri Museveni akifaidi uwekezaji katika siasa. Huyu ni mmojawapo wa wawezeshaji wawekezaji kuja kuchukua na kutumikisha waswahili.Rejea mauaji na vurugu zilizotokea Uganda M7 alipogawa msitu wa Mabira kwa wahindi wake.

5 comments:

malkiory said...

Mkuu wape vidonge vyao!

Yasinta Ngonyani said...

Mmmmm! huo ni utumwa kwa kweli:-(

Anonymous said...

Natamani ingeongezwa na picha ya Mkapa mwenyewe,

Anonymous said...

Huu ni ushahidi tosha kuwa watawala wetu hawana maana wala akili. Fuck Chinese. They are as brutal, hopeless and uncouth as Indians and Arabs. Kwanini tusiwachinje mmoja mmoja ili wajue nasi tuna akili? Waafrika kila mlipo tusikubali nchi zetu kubinafsishwa kwa mafisi hawa.
Nahisi harufu ya damu ya wachina, wahindi na waarabu.

Anonymous said...

Nami nasikia harufu ya damu ya magabacholi na Kikwete na CCM.