Friday, 22 October 2010

Je waweza kujioa? Soma kisa hiki cha kweli


TAIPEI (Reuters) - Chen Wei-yih has posed for a set of photos in a flowing white dress, enlisted a wedding planner and rented a banquet hall for a marriage celebration with 30 friends.

But there is no groom. Chen will marry herself.

Uninspired by the men she's met but facing social pressure to get married, the 30-year-old Taipei office worker will hold the reception next month in honor of just one person.

"Age thirty is a prime period for me. My work and experience are in good shape, but I haven't found a partner, so what can I do?" Chen said.

"It's not that I'm anti-marriage. I just hope that I can express a different idea within the bounds of a tradition."

Her T$50,000 ($5,675) wedding comes after online publicity that has netted 1,800 largely sympathetic comments.

"I think there will be more and more girls like this," said "divagirl," who did not elaborate.

Taiwanese women are marrying later and less often as their economic status advances, fuelling government concerns about a drop in the birth rate and its impact on productivity.

Only 40 percent of women surveyed earlier this year by the education ministry said they imagined married people could live better than singles, local media said.

"I was just hoping that more people would love themselves," said Chen, who will go on a solo honeymoon to Australia.

Chen said her mother had insisted on a groom at first but later jumped aboard the solo marriage plan.

But as Chen cannot officially register a marriage to herself, if she finds a man later she will wed again.

"If I had a steady boyfriend, I wouldn't do this," Chen said. "it would be offensive to him, anyway."

(Reporting by Ralph Jennings; editing by Elaine Lies)

14 comments:

SIMON KITURURU said...

Mmmh!

SIMON KITURURU said...

Mkuu napatatabu kukiloketi kitabu chako cha SAA YA UKOMBOZI . Naomba nifundishe kukinyemelea

NN Mhango said...

Pole sana mkuu mwenzangu. Bahati mbaya mchapishaji wangu hajakiweka kwenye mtandao pamoja na kumpigia kelele afanye hivyo.
Wengi ambao wamepata nakala zao wamenunua au kuagiza pale Bookshop Samora Ave. Hata bookshop yenyewe jina lake silipati sawa sawa ingawa kwa Arusha pia nasikia kuna bookshop moja iitwaye KASE siyo queen Kase inauza vitabu hivyo.
Kama uko bongo ni rahisi kupata na kama uko ughaibuni nitumie anwani yako nijaribu kukutumia lau kopi moja toka zangu mbili nilizo nazo.
Nadhani nimeeleweka.

SIMON KITURURU said...

Mkuu samahani nilijitahidi bila mafanikio .

Unaweza kunidakisha kwenye anuani:


Simon Mkodo Heriel Mrinde Kitururu
Puustellintie 4C32
00410 Helsinki,
Finland.Tuko pamoja Mkuu!

Na kama hujastukia,....

..... mie ni wako BOMBA la mshabiki.:-(

NN Mhango said...

Tuliza boli nitafanya mikiki lau upate SAA YA UKOMBOZI ili uwakomboe na wengeni.
Asante kwa kuwa timu moja nami.
Anwani yako nimeinyaka piga ua lazima upate nakala yako bro.

SIMON KITURURU said...

Mkuu boli limepigwa danadana halafu limetulizwa hata bila kupigwa tikitaka.

TUKO PAMOJA!

NN Mhango said...

Huko Ufini hamlali! Kwa saa yangu hapa inabidi uwe unakoroma japo kwa jamu.

SIMON KITURURU said...

Nahisi kila mtu nimjuaye HAPA kalala saa hizi .


Ila mimi nahisi niko dakika mbili mbele au NYUMA kwa kuwa saa hizi napoandika ni saa kumi kasorobo usiku na Saa moja na nusu asubuhi niko kazini.


Kinamna naogopa kuwa katika mwaka iwe ni miezi sita inapita nimelala.:-(

NN Mhango said...

Mie kwangu hapa ni saa mbili na dakika 11 usiku. Hivyo bado ninao muda mwingi wa kutafakari kabla ya kwenda kulala. Ni tabia njema kutopoteza muda kitandani. Badala yake ni vizuri kuutumia kujisomea kujua au kujuza hili na lile. Inshallah kesho nitakutumia nakala ya saa ya ukombozi bure.

SIMON KITURURU said...

Asante Mkuu!Nilijaribu kukipata mpaka ikabidi nikuulize tu jinsi ya kukipata Mkuu!

Kwa mara nyingine asante sana Mkuu!

NN Mhango said...

Usijali ni wajibu wangu kuhakikisha kuwa mwenye kiu ya kusoma maandiko yangu kama nina uwezo anayapata. Nagegemea critique baada ya kuwa umekisoma. Uwe huru kuelezea unavyoona bila kujali nitaudhika au vinginevyo.
Kila la heri

NN Mhango said...

Bwana we! Imitosha! Mie huwa naiita nanihii ikizingatiwa kuwa nina watoto wangu wenye umri wa kuweza kunisoma ukiachia mbali kujali maadili ya malezi yangu ya kizamani.

SIMON KITURURU said...

Nimekuelewa na samahani kama nimezidisha! Kuidiliti komenti yangu ya hapo juu RUKSA!

NN Mhango said...

Usijali wakati mwingine mada huamsha midadi kiasi cha kujikuta katika hali hiyo. I surely will do so. Na hasa ndicho nilichokuwa nimemaanisha na nashukuru tumeelewana. Acha niende kupata kamlo kadogo ka usiku.