Wednesday, 7 December 2011

Breaking News Rais aanza kutumikia kifungo gerezani

Rais wa zamani wa Israel Moshe Katsav (66) ameanza kutumikia kifungo cha miaka saba jela kwa kosa la kubaka. Katsav alifikishwa kwenye gereza la Maasiyahu jana kuanza kutumikia adhabu yake hiyo. Kwa habari zaidi, BONYEZA HAPA.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Labda habari hii itawafunua/fungua wabakaji wengine kuwa kuna sheria...jana nilikuwa nasikiliza habari hapa kuna kijana mmoja alimbaka msichana na akakamatwa na akaachiliwa lakini yule msichana hakuacha kufuatilia na mpaka jana waliposema kuwa wapo mbioni kumkamata tena ....sijui nisema nini zaidi ya haki yake na tena ilibidi atumikie zaidi ya miaka hiyo saba.