Saturday, 24 December 2011

Nawatakia heri ya X-mas na Mwaka Mpya 2012


Ingawa huku tuna X-mas wanayoita Green one kwa sababu ya kutokuwapo theluji, kwa waswahili kama mimi tunashangilia. Maana hakuna cha kusafisha njia ziingiazo na kutoka majumbani mwetu wala baridi ya kukera ukiachia mbali utelezi.
Tunachukua fursa hii kuwatakia Noel njema na heri ya Mwaka mpya 2012.

4 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Noeli njema kwako Mwalimu pamoja na familia yako na wapendwa wako wote. Hebu mwaka ujao na ukawe na mafanikio zaidi katika kila nyanja katika maisha yako. Blessings mwanaharakati !

Yasinta Ngonyani said...

Yaani kama ulikuwepo katika mawazo yangu. Kwangu pia ni furaha sana kutokuwa na theluji . X-mas njema kwako pia familia.

Malkiory Matiya said...

Heri na kwako pia mpiganaji.

NN Mhango said...

Nawashukuruni wageni wangu kwa dua zenu. Hakika Mwalimu Matondo, Yacinta na Malkiory mmekuwa wageni wema na marafiki wa karibu. Mbarikiwe na muwe na mwaka mpya wenye kila fanaka na kutimia kwa ndoto zenu zote na kufunguka milango yote mliyotaka ifunguke.