- Rais Jakaya Kikwete akiwa amepanda kwenye gari la kukokotwa na farasi alipokuwa nchini Kanada kikazi. Pamoja na kuwasili kama mkuu wa nchi, Kikwete alipokelewa na waziri wa mambo ya nchi za nje badala ya waziri mkuu. Ingekuwa wakati wa mwalimu Nyerere huu ungekuwa mwisho wake kukanyaga kwenye taifa hili. Sijui ni kwanini viongozi wetu wa sasa wanatenzwa kama watoto wadogo? Hii imenikumbusha ushabiki wa Kikwete kwenye kubembea kama ule aliofanya kule nchini Jamaica miaka michache iliyopita alipokwenda kule kujirusha.
2 comments:
Heshima mbele mkuu. Rais huyo ni Rais wa Tanzania umuhishimu.
Lay down your gun & anger go home and pray A.k.A. pagani
Siku yake inakuja atakuja kupokelewa na meya wa mji manake amazidi sana kuzurula kwa watu na kutokaa kufanya kazi kama Rais hapo nyumbani.Watu wanakuchoka na unapoteza pesa za walipa kodi kwa kupeana hizi posho za safari kisa kuja kupowa vizawadi vidigo vidogo
Post a Comment