Thursday, 10 March 2016

Sijui kama wanaong'ang'ania madaraka walijifunza kitu hapa

Ukijikumbusha Ngwazi Muamar Gaddafi alivyolipwa, unashangaa mantiki ya maimla wa kiafrika kuendelea kubadili katiba ili wabakie madarakani wakati ni hati hati na mtihani ukipatikana. Kweli historia ni somo gumu kwa walio wengi. Hata wajifunzapo huelewa kinyume!


No comments: