Free Thinking

I Fear Nothing But Fear Itself

The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Friday, 11 March 2016

Mlevi amtumbulisha jipu Sifui



            Hakuna wakati aliowahi kunikuna rais Joni Kanywaji Mugful kama alipoamua kumtolea uvivu jamaa yangu Muombeni Sifui. You know what? Mimi ndiye niliyemchoma tena kwa kuandika wazi wazi makala ndefu ya kumwambia Dk Kanywaji kuwa jamaa naye ni jibu aliyeshiriki kwenye utawala jipu uliozaa na kulea majipu yanayomsumbua.

            Japo nataka hii uifanye siri wewe unayosema, ukweli ni kwamba wazo la kumtumbua jibu Sifui niliotoa mimi kwa bwana mkubwa ambaye huwa ananisoma na kunisikiliza sana. Namshukuru bwana rahis kwa hili. Pia namshauri azidi kunisikiliza na kufuata ushauri wangu mojawapo ukiwa ni kumtaka asimpe ulaji–kiherehere mmoja aitwaye Po Makondakta–anayejipendekeza hata kwa kutaka kudhalilisha wapiga chaki eti wasafiri bure na kuinuliwa kila mara kwenye siti atakapokuja abiria anayelipa.  Nani anataka vya dezo? Kwanini msiwapandishie mishahara na kuwaongezea marupurupu badala ya kutaka kuwadhalilisha kwa kutaka kujipendekeza kwa Dk Kanywaji?  Sasa huyu jamaa namtumia salamu rasmi–kama Sifui–lazima naye atumbuliwe jipu.        Hata hiki kitegemezi cha mgosi Makambale kikae mkao wa kutumbuliwa jipu kwa kubwabwaja bila kufikiri kikidhani kinajijenga kumbe ndiyo kinajibomoa.

            Tukirejea kwa Sifui, mimi nilishamstukia hasa nikizingatia alivyoshirikiana na Njaa Jaa Kaya kugeuza kaya yetu shamba la bibi kama alivyosema Dk Kanywaji hivi karibuni. Huwezi ukamlaumu Njaa Kaya na uchafu uliotamalaki ikulu ukamsaza Sifui. Nani hajui kuwa mwenzake Shabby Gurumo alirambishwa uchache na jambazi la Escrew Jimmy Rugemalayer?

            Tatizo la Sifui ni kutoona mbali. Siku alivyofurushwa kidhabu mwingine aitwaye Salva Rweyependekeza ingewafungua macho akina Sifui na wengine ambao bado wako Ikulu wakingoja kutumbuliwa majipu. Ngoja nikuibie siri kidogo. Juzi nilimtonya Dk Kanywaji kwa siri–siyo kupitia hapa wala kwingine–kuwa aanze kuwatumbua majipu wakuu wa mikoa na wilaya wote walioteuliwa kishikaji bila kusahau majaji na mabalozi na wenyeviti wa bodi za ulaji zilizotapakaa kayani. Pia, nilimshauri afute baadhi ya wilaya na mikoa vilivyoanzishwa kishikaji. Maana, ni mzigo kwa kaya.

            Baba ya yote, pia napanga kumwandalia waraka wa kutaka awatumbue wote waliogeuza kaya yetu shamba la bibi kuanzia siku alipong’atuka mzee Mchonga hadi alikoanzia. Hapa jamaa zangu wastaafu waliokuwa wakihomola wakati waligeuza kaya shamba la bibi wakae mkao wa kutumbuliwa majipu. Hamjawaona wanavyopigana vikumbo kwenda ikulu kujidhalilisha kwa kijana mmoja anayewazidi maarifa na ujasiri kugusa pale walipotomsa? Ama kweli alijisemea mfalme Suleimani kuwa heri kijana maskini mwenye busara na akili kuliko mfalme mzee na mpumbavu. Je hawa wafalme wanaopigana vikumbo kwenda kuomba majipu yao yasitumbuliwe siyo wapumbavu kweli? Sijui kama jamaa zangu wa Liliondo, Kiwira, NBC, EPA, Kagoda, Escrew, UDA, SUKITA, Rada, Dege mafua la rais, Meremeta, Mwananchi Gold na wengine wengi watachomoka.

            Hata akina kalu na absiii waliozea kufanya uchumi wa kaya yetu shamba la bibi na kunenepeshea kunguru toka India wakae mkao wa kutumbuliwa majipu hasa kutokana na kuziba mianya yao yote ya kutugeuza hamnazo kutokana na kutawaliwa na hamnazo kana kwamba nasi ni hamnazo. Nina mpango wa kumwambia apitishe sera kuwa wafanyabiashara wote wasiruhusiwe kupanga kwenye nyumba za Asajile Mwaijumba wakati mihekalu yao wakipangisha watasha na wengine kugeuza maghala ya kuhifadhia wahamiaji haramu wanaokimbia ukapa, ukata na ukwete huko kwao kwenye kaya ya kalu na absiii.

             Kabla ya kusahau, unafahamu kuwa nilimshauri Dk Kanywaji kutomruhusu bi mkubwa wake kuanzisha NGO ya ulaji kama vile MAWA na Fursa Sawa kwa wake za wakubwa? Nani anataka ujambazi wa kutumia NGO ya kuficha mgongoni mwa rahis kuwaibia walevi? Who wants it? Who needs it? Nani huyo aseme nimsikie nimsakizie atumbuliwe jipu? Tena kabla ya kusahau kutokana na mibangi na mi-hangovers, sijasahau. Lazima nimshauri Dk Kanywaji atumbue hata NGO za wake wa wakubwa bila kuwaangalia nyani usoni. Hapa ni kutumbuana majipu hata kama mtumbuliwa amesimama.

            Nikirejea kwa Sifui, sisi tulijua kuwa hana udhu wa kukaa patakatifu pa patakatifu palipokuwa pamegeuzwa pango la wezi tangu zama zile aliposema nabii Musa (Mungu amweke mahali pema peponi). Kwa miaka 30 patakatifu pa patakatifu paligeuzwa pango la kila kinyama cha usiku kiasi cha kunuka na kuchusha.  Nimesikia eti atapangiwa kazi nyingine. Kazi nyingine au kesi nyingine?

            Sasa ngoja nifunge kazi. Naomba hii usome kimya kimya wala usimwonyeshe wala kumwambia mtu. Nina mpango wa kumtembelea Dk Kanywaji kwenda kumpongeza, kumtakia mwaka mpya na kumpa ujumbe mzito ambao utatikisa kaya yetu. Guess what. Nataka nimpe jibu baba na mama ya majipu liitwalo Chama Cha Majipu (CCM). Kwa vile ananiaminia, nitamwambia kuwa bila kutumbua CCM kazi yote anayofanya ni bure. Hapa mzee wa pembe za ndovu atakuwa anajinonihino kwenye nonihino yake akingojea kutumbuliwa jipu.

Anyways, tionane next week.
Chanzo: Nipashe, Machi 12, 2016.
Posted by Ndugu Nkwazi N Mhango at 21:34

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Cordially and unlimitedly welcome to this blog.


Writing and reading are two different processes but which share the same goal-to educate, communicate and entertain.
It is my pleasure to have you as the guest of this tablet.
I, thus, warmly and always, welcome you to share ideas.
Importantly and eminently, shall there be anything amiss or you think can advance this blog, please donate it.
Allow me to humbly and kindly welcome you once again.
Nkwazi N Mhango- A Man And a Half

When wisdom brings no profit, to be wise is to suffer. Not all thoughts are good and constructive. Others are even worse than bullets. The good thinkers are the ones that think constructively for the manumission of all bin-Adams regardless their diversity. Mwl. Nkwazi N Mhango,
Canada.


Hail Mama SWAPO Nandi-Ndaitwah

Hail Mama SWAPO Nandi-Ndaitwah

I Love My Country Tanzania

I Love My Country Tanzania

The Curse of Salvation

The Curse of Salvation

Gen Z and Internet Revolution

Gen Z and Internet Revolution

I Cry for Ambazonia and Darfur

I Cry for Ambazonia and Darfur

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do.

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do.

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Yoo-hoo, Africa Is Yowling

Yoo-hoo, Africa Is Yowling

The Story of Stories

The Story of Stories

The Chant of Savant

The Chant of Savant

AFRICA’S CONTEMPORARY FOOD INSECURITY Self-inflicted Wounds through Modern Veni Vidi Vici and Land G

AFRICA’S CONTEMPORARY FOOD INSECURITY Self-inflicted Wounds through Modern Veni Vidi Vici and Land G

AFRICA MUST DEAL WITH BLATS FOR ITS TRUE DECOLONISATION

AFRICA MUST DEAL WITH BLATS FOR ITS TRUE DECOLONISATION

Epistle to Afrophobic South Africa

Epistle to Afrophobic South Africa

Magufulification

Magufulification

BORN NUDE

BORN NUDE

Total Pageviews

Heko Rais Magufuli

Heko Rais Magufuli

DECOLONISING EDUCATION

DECOLONISING EDUCATION

Kudos President Magufuli

Kudos President Magufuli

JOKEY HORSE-JOCKEY NORTH-SOUTH RAPPORT Diagnostic-cum-Prognostic-Academic Perspectives on Who Truly

JOKEY HORSE-JOCKEY NORTH-SOUTH RAPPORT Diagnostic-cum-Prognostic-Academic Perspectives on Who Truly

The Family Friend of Animals

The Family Friend of Animals
Children's Book

Matembezi Mbuga ya Wanyama

Matembezi Mbuga ya Wanyama
Kitabu cha Watoto

Our Heritage

Our Heritage
Children's Book

How Africa Developed Europe:Deconstructing the His-story of Africa, Excavating Untold Truth...

How Africa Developed Europe:Deconstructing the His-story of Africa, Excavating Untold Truth...

Africa's Dependency Syndrome: Can Africa Turn Things around for the Better?

Africa's Dependency Syndrome: Can Africa Turn Things around for the Better?

'Is It Global War on Terror' or Global War on Terra Africana?

'Is It Global War on Terror' or Global War on Terra Africana?

Perpetual Search

Perpetual Search

Africa's Best and Worst Presidents

Africa's Best and Worst Presidents

Psalm of the Oppressed

Psalm of the Oppressed
Psalm of the Oppressed

AFRICA REUNITE or PERISH

AFRICA REUNITE or PERISH
A new approach towards empowering Africa

BORN WITH VOICE

BORN WITH VOICE

Soul on Sale

Soul on Sale

Soul on Sale

Nyuma ya Pazia

Nyuma ya Pazia

We are one

We are one

SAA YA UKOMBOZI

SAA YA UKOMBOZI

Feel at home

You are always welcome to this epistle again and again time after time, ad infinitum.


Most read Posts

  • Sarkozy’s Take on African Fat Cats a Welcome Move
    At last the chicken are coming home to roost! French authorities made a groundbreaking decision by culling three most corrupt African presid...
  • Napanga kuanza kuuza mitumba na si maneno
    Ingawa mimi si mtumba, napanga kuuza mitumba. Nimechoshwa na jamii ya mitumba. Kila kitu mitumba. Mitumba, mitumba mitupu. Siasa za mitumba...
  • Better or Bitter Life for all?
    When I deeply muse on how an arrogant and brutal cabal of hoity toity (Coverted Con Men (CCM)) is tirelessly hoodwinking and dividing the ho...
  • Africa's Becoming more Despotic and Nepotistic
    "King of Kings" Gaddaffi The seven-day 40th anniversary of Libya strongman’s autocratic rule and charade elections in Gabon where...
  • Kuna siku tutataifisha haya mahekalu haki ya nani
    Taarifa kuwa waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige alinunua nyumba kwa zaidi ya shilingi bilioni moja licha ya kuwastua wananchi na...
  • Nyangumi mdogo akutwa amekufa ufukweni BC
    Hii ni picha iliyotolewa ya Nyangumi aina ya Humpback ambaye alikumbwa na maji na kutupwa kwenye ufukwe wa bahari ya Pasifiki kwenye eneo l...
  • Kikwete, Charity Begins at Home!
    President Jakaya Kikwete Pea...
  • Kweli binadamu si chochote wala lolote, wamkumbuka huyu?
    Walioko madarakani mkiabudiwa kama miungu au sanamu kumbukeni vijana hawa hata baba zao  ambao maiti zao zinaoza jangwani. Ungewaambia...
  • Pinda kulia hakutoshi, awajibike
    INGAWA kilio cha Waziri Mkuu, Mizengo Peter Kayanza Pinda, kinaonekana kuyeyusha hasira za Watanzania kwa muda, kuna haja ya kudodosa zaidi....
  • Hawa si wachungaji bali ni fisi na mbwa mwitu
    KUMEZUKA mtindo mchafu na wa rejareja wa baadhi ya wachumia tumbo na matapeli kumtania hata kumtumia Mwenyezi Mungu kufanya utapeli na ujamb...

Followers

Blog Archive

  • ►  2025 (84)
    • ►  December (1)
    • ►  November (11)
    • ►  October (9)
    • ►  September (7)
    • ►  August (12)
    • ►  July (8)
    • ►  June (7)
    • ►  May (5)
    • ►  April (4)
    • ►  March (6)
    • ►  February (8)
    • ►  January (6)
  • ►  2024 (92)
    • ►  December (7)
    • ►  November (4)
    • ►  October (11)
    • ►  September (9)
    • ►  August (7)
    • ►  July (9)
    • ►  June (9)
    • ►  May (8)
    • ►  April (7)
    • ►  March (6)
    • ►  February (7)
    • ►  January (8)
  • ►  2023 (118)
    • ►  December (10)
    • ►  November (10)
    • ►  October (9)
    • ►  September (2)
    • ►  August (4)
    • ►  July (6)
    • ►  June (9)
    • ►  May (8)
    • ►  April (18)
    • ►  March (13)
    • ►  February (9)
    • ►  January (20)
  • ►  2022 (208)
    • ►  December (14)
    • ►  November (14)
    • ►  October (20)
    • ►  September (20)
    • ►  August (12)
    • ►  July (25)
    • ►  June (22)
    • ►  May (18)
    • ►  April (13)
    • ►  March (18)
    • ►  February (18)
    • ►  January (14)
  • ►  2021 (323)
    • ►  December (23)
    • ►  November (34)
    • ►  October (26)
    • ►  September (13)
    • ►  August (19)
    • ►  July (21)
    • ►  June (29)
    • ►  May (25)
    • ►  April (23)
    • ►  March (43)
    • ►  February (29)
    • ►  January (38)
  • ►  2020 (290)
    • ►  December (33)
    • ►  November (37)
    • ►  October (28)
    • ►  September (35)
    • ►  August (31)
    • ►  July (26)
    • ►  June (17)
    • ►  May (21)
    • ►  April (18)
    • ►  March (15)
    • ►  February (17)
    • ►  January (12)
  • ►  2019 (160)
    • ►  December (8)
    • ►  November (7)
    • ►  October (12)
    • ►  September (9)
    • ►  August (27)
    • ►  July (18)
    • ►  June (18)
    • ►  May (11)
    • ►  April (11)
    • ►  March (9)
    • ►  February (16)
    • ►  January (14)
  • ►  2018 (162)
    • ►  December (12)
    • ►  November (6)
    • ►  October (13)
    • ►  September (10)
    • ►  August (20)
    • ►  July (9)
    • ►  June (14)
    • ►  May (9)
    • ►  April (16)
    • ►  March (21)
    • ►  February (17)
    • ►  January (15)
  • ►  2017 (306)
    • ►  December (20)
    • ►  November (23)
    • ►  October (20)
    • ►  September (26)
    • ►  August (31)
    • ►  July (31)
    • ►  June (34)
    • ►  May (26)
    • ►  April (24)
    • ►  March (20)
    • ►  February (28)
    • ►  January (23)
  • ▼  2016 (269)
    • ►  December (22)
    • ►  November (21)
    • ►  October (22)
    • ►  September (15)
    • ►  August (12)
    • ►  July (27)
    • ►  June (24)
    • ►  May (23)
    • ►  April (29)
    • ▼  March (26)
      • Kijiwe chapanga kutembelea Zenj
      • Barua ya wazi kwa waziri mkuu Majaliwa
      • Lukuvi whom are you trying to dupe
      • Mlevi astukia 'ugesishaji' kaya
      • Kwa ndugu zetu mnaoamini kwenye dini za kigeni
      • SHUKRANI YA PUNDA
      • Kijiwe kupinga amri za Dk Kanywaji
      • How do you view and assess this stuff?
      • Makufuli mtumbue jipu Lukuviii
      • Kijiwe chastukia sanaa za Lukuvi
      • Magufuli usitegemee kuombewa uchukue hatua
      • Janga la taifa: Vyuo vikuu vinapoeneza ujinga
      • Leo natoka na Wanda Boys na vimbwanga vyao
      • Wakuu "wapya" wa mikoa, Magufuli achemsha
      • Boozer won’t pray for Mugful
      • Mlevi amtumbulisha jipu Sifui
      • Sijui kama wanaong'ang'ania madaraka walijifunza k...
      • Reunite East Africa instead of integrating it
      • Haya ni maombi au utapeli na ubangaizaji
      • Kijiwe: Makonda acha kudhalilisha walimu
      • Breaking news Sefue chini Ikulu
      • Cronyism, nepotism and nihilism: Hooray Makamba
      • Kwa wanandoa au watarajiwa
      • Mlevi kuwa wakili wa kujitolea kesi za mafisadi
      • Kijiwe chataka Kiquette ajitumbue kwanza
      • AFRICA REUNITE or PERISH chaanza kufundishwa chuoni
    • ►  February (27)
    • ►  January (21)
  • ►  2015 (399)
    • ►  December (34)
    • ►  November (24)
    • ►  October (22)
    • ►  September (34)
    • ►  August (29)
    • ►  July (37)
    • ►  June (22)
    • ►  May (32)
    • ►  April (35)
    • ►  March (46)
    • ►  February (47)
    • ►  January (37)
  • ►  2014 (502)
    • ►  December (47)
    • ►  November (49)
    • ►  October (47)
    • ►  September (37)
    • ►  August (40)
    • ►  July (42)
    • ►  June (30)
    • ►  May (35)
    • ►  April (47)
    • ►  March (44)
    • ►  February (39)
    • ►  January (45)
  • ►  2013 (399)
    • ►  December (37)
    • ►  November (27)
    • ►  October (31)
    • ►  September (26)
    • ►  August (33)
    • ►  July (39)
    • ►  June (28)
    • ►  May (40)
    • ►  April (44)
    • ►  March (39)
    • ►  February (26)
    • ►  January (29)
  • ►  2012 (597)
    • ►  December (27)
    • ►  November (26)
    • ►  October (27)
    • ►  September (30)
    • ►  August (47)
    • ►  July (94)
    • ►  June (86)
    • ►  May (119)
    • ►  April (83)
    • ►  March (23)
    • ►  February (17)
    • ►  January (18)
  • ►  2011 (261)
    • ►  December (20)
    • ►  November (19)
    • ►  October (20)
    • ►  September (21)
    • ►  August (27)
    • ►  July (12)
    • ►  June (15)
    • ►  May (20)
    • ►  April (27)
    • ►  March (32)
    • ►  February (24)
    • ►  January (24)
  • ►  2010 (205)
    • ►  December (25)
    • ►  November (23)
    • ►  October (23)
    • ►  September (23)
    • ►  August (17)
    • ►  July (13)
    • ►  June (12)
    • ►  May (10)
    • ►  April (18)
    • ►  March (9)
    • ►  February (16)
    • ►  January (16)
  • ►  2009 (163)
    • ►  December (19)
    • ►  November (14)
    • ►  October (11)
    • ►  September (6)
    • ►  August (12)
    • ►  July (9)
    • ►  June (11)
    • ►  May (20)
    • ►  April (22)
    • ►  March (14)
    • ►  February (12)
    • ►  January (13)
  • ►  2008 (191)
    • ►  December (12)
    • ►  November (11)
    • ►  October (14)
    • ►  September (15)
    • ►  August (16)
    • ►  July (23)
    • ►  June (10)
    • ►  May (19)
    • ►  April (16)
    • ►  March (19)
    • ►  February (17)
    • ►  January (19)
  • ►  2007 (33)
    • ►  December (13)
    • ►  November (20)

About Me

My photo
View my complete profile

Travel theme. Powered by Blogger.