Thursday, 12 September 2013

Je wamjua samaki huyu?

blobfishKwa kimombo anaitwa Blobfish. Sijui kwa kishwahili anaitwaje. Ndiye kiumbe mwenye kutisha kuliko wote duniani. Hata hivyo anakabiliwa na tishio la kutoweka kutokana na uvuvi holela.

No comments: