The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Friday, 13 September 2013

Ushirikina wa wazungu



Pamoja na kuita mila zetu za kishenzi na kishirikina, wazungu nao bado ni washirikina hasa ukiangalia baadhi ya mambo kama vile sikukuu ya Haloween na jinsi wanavyoogopa namba kama vile 13 na 666. Kwa habari zaidi hebu BONYEZA HAPA.

No comments: