Friday, 6 December 2013

Hapa ndipo atakapozikwa Madiba alikozaliwa Mvezo Qunu

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Apumzike kwa amani...Amina

Anonymous said...

Na apumzishwe kwa amani kuu. Anastahili yote haya, mcha Mungu huyu.

Nasi waAfrika, tupende kujifunza kutoka kwa maisha na matendo ya hayati Nelson Mandela (RIP).

Hofu yangu ni "majizi" yetu yakishaenda "ku-kopi" hili eneo, yatakuja "ku-pesti" kule Dodoma au kwengineko nchini mwetu kwa gharama ya kodi za wavuja jasho. Hayatajali kuwa hayastahili hata chembe ya heshima yoyote ile, si katika ufu tu bali hata uhai.

Jaribu said...

Umesema kweli, Anonymous. Hakutaka sifa za kijinga kama madakta wetu wauza genge.