Sunday, 15 December 2013

Aliymuandikia hotuba hii Kikwete amefanya homework vizuri

Hotuba nzuri ingawa sikubaliani na hitimisho lake la kusema kuwa tuishi legacy ya Mandela kuhakikisha nchi maskini zinajikomboa kiuchumi. Angesema mwingine ningeamini ila si Kikwete bingwa wa kuvuja pesa yetu kulea ufisadi na kuwakingia kifua wauza unga majambazi na wawekezaji. 

1 comment:

Anonymous said...

Kuna picha moja ilichorwa na watu vikatuni miaka mingi iliyopita ikionyesha mtu mmoja akikata tawi la mti alilokalia.....

Hata sasa viongozi wote wa waafrika na hasa hawa wa Tanzania...Hiyo kwa mtazamo wao wanaona kwamba yule aliyekuwa anakati tawi ni mjinga na mpumbavu...

Ukweli wenyewe hawa viongozi hawana tofauti yoyote na huyo mkataji wa tawi alilokalia