Thursday, 20 March 2014

Mnyama anapotenda ubinadamu

Wakati wanadamu tunafanyiana unyama, wanyama wanaanza kutuzidi akili kwa kutendeana kibinadamu. Kiboko huyo hapo  juu ameonyesha kutenda kitu ambacho kimetushinda binadamu kwa sasa. Kiboko hana uhusiano na huyo anayemuokoa. Sisi binadamu tunaumizana  wenyewe kwa wenyewe saa nyingine watu wenye uhusiano wa karibu sana.  Hakika huyu kiboko ameonyesha upendo na utumishi uliotukuka. Si fisadi wala mbinafsi kama wengi wetu.

No comments: