Sunday, 16 March 2014

Hichi kibonzo vipi?

2 comments:

Jaribu said...

Na hapo hatujafikia saizi ya ubungo. Hukuweza kumsikia Mwalimu akisubiri uamuzi wa OAU kabla yeye hajaamua.

NN Mhango said...

Jaribu usinichekeshe. Wengi wa tulio nao hata utumbo wa mwalimu ulikuwa unafikiri sawa sawa kuliko bongo zao chafu na ovu.