Free Thinking

I Fear Nothing But Fear Itself

The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Friday, 7 July 2017

Bi Mkubwa wangu kweli Mwanaume kama Akashia!

Image result for photos of magufuli and professor john of barrick
          Baada ya kuupiga na kujifanya  Mike Tyson si nikamvamia bi Mkubwa wangu. Wajua kosa lake nini? Kunipikia miugali badala ya wali. Kosa jingine? Kuhoji kwanini nataka apike pilau wakati sikuacha mshiko hata senti. Nami bila kujua; nilikuwa nimeutwika; si nikamkwida huku nikimrushia mingumi mizito lau kuonyesha undavandava wangu kama nyamaume nisijue naye mrume wa nguvu! Ghafla bin vu alinivuta na kuniangusha chini huku akitua juu yangu na kunikalia. Nilizoea kumuangukia na kumlalia asilalamike nikiwa nimelewa.  Bi Mkubwa mwenyewe ni Tunituni fulani aliyejazia. Acha anishindilie mingumi huku jasho likinitoka. Baada ya kugundua kuwa angeweza kuninyotoa roho, ilibidi nijikaze kike ili asijekuniua kiume.
            Baada ya kuzidiwa ikabidi nimuombe msamaha. Naye bila kusita, alisitisha mashambulizi akiomba nimtambue kuwa yeye ni mwanaume; nami ni mwanamke. Nami bila kusita nilimwambia “kweli wewe ni mwanaume tena wa shoka kama Akashia.” Kana kwamba haitoshi, aliniamuru niseme “mimi kweli ni mwanamke.” Nilisita kidogo; na kichapo kikazidi. Kuona huyu mrumejike; tuseme jikedume angenyotoa roho, ikabidi mwishowe niamue kurudia maneno yake na kumwambia mke wangu “mimi ni mwanamke; nawe ni mwanaume.”
            Sasa turejee mantiki ya somo nililojifunza kwenye ubaguzi huu wa kilevi, kijinga na kijinsia. Hivi, tunaposema fulani ni mwanaume tukimaanisha shujaa tunatoa picha gani kwa akina mama? Je kuna aliyejiumba au kutuma maombi aumbwe alivyo? Je kama mafanikio au ubabe ndiyo ushujaa au uanamume, kuna wanawake wangapi ni wanaume bila kusahau wanaume ambao ni wanawake tokana na kushindwa na wale wanaowaona kama jinsia dhaifu kulhali kuanzia ubabe wa kifedha, kiakili hata kimituringa kama nilvyofanyiwa na Bi Nkubwa wangu ambaye namheshimu kuliko mwanzo? Je hapa tunajitukana kijinsia ili kupata nini? Hivi mama yako angekuwa mwanaume ungezaliwa na huo udume wako uchwara?
            Ugomvi wangu na bi Mkubwa ulinikumbusha baadhi ya watuhumiwa wa kunufaika na fedha za Escrew ambao walimtishia mbunge wa Kigoma Mashariki David Kafulila kuwa kama angekuwa mwanaume alipaswa aende kuwashutumu nje ya Mjengo. Wengine walimwita tumbili alipowaita wezi. Sijui kwa usawa huu, hawa wanaume siyo “wanawake” kweli baada ya kuumbuka? Na wanawake ambao wamekuwa wakilipa kodi ili wao waescrow siyo wanaume wa shoka kuliko wao wanawake wa hovyo?
            “Mwanaume” gani anaiba fedha ya kodi na akaendelea kuwa “mwanaume?” Je kuna anayeutaka uanaume wa maovu kama jamaa zetu waliozoea kutuibia madini yetu kwenye michanga halafu tunawaita wezi kabla ya kubadilisha kibao na kuwaita wanaume. Je kweli hapa mwanaume ni nani kati yao nasi? Je mwanaume wa kweli hapa ni yupi kati ya yule anayeiba au kunyonya na wale anaowaibia au kuwanyonya ukiachia mbalil anayemsifia ujinga? Sijui mwanaume hapa ni yupi kati ya mwizi aliyemweka sawa aliyemwibia au aliyeibiwa akaanza kumvisha uanaume mwizi wake simply because amemuahidi kushirikana naye kumrejeshea kidogo?  Je kuna wanawake wanaume wangapi na wanaume wanawake kiasi gani duniani katika hali hii?
            Baada ya kuwa nasikia ujinga huu mara kwa mara tena toka kwa watu ambao hukutegemea ukiangalia nafasi na elimu zao, leo nimeamua kutumia PhD yangu ya ulevi kuwashukia hawa wabaguzi wa kijinsia ambao kwa kisukuma huitwa misogynists kama siyo mishongezi wa kijisia kwa kisambaa. Kama mnaona uanaume ni mali kuliko uanauke kwanini mnawawowa na msiwowane tukawajua nyinyi ni nani?
            Hivi kama uanaume ni ushujaa, hivi mimi na bi Mkubwa wangu aliyenikung’uta nani mwanaume? Au tuseme mimi ninayemkopa bi Kotilde muuza kanywaji nisimlipe nani mwanaume? Kama uanaume ni mali mbona hatuoni mkiuuza mitaani lau wote tuwe vidume? Acheni ushamba na ulimbukeni na udhalilishaji kijinsia. Wote tunategemeana kama alivyonichapa bi Nkubwa wangu. Wakati mwingine huwa nanchapa; wakati mwingine ananigeuzia kibao. Tunchapana kuonyesha usawa; na maisha ndivyo yalivyo. Dume la leo laweza kuwa jike la kesho na kadhalika kama udume ni ubabe, ufanisi, mali, ushujaa, umaarufu na mambo mengine mengi.
            Leo namaliza kitakatifu nikimkariri rafiki yangu na ndugu yangu mwana wa Adam aliyeuliza “kama mwili wote ungekuwa sikio, jicho lingekuwa wapi?” Je kama wote tungekuwa wanaume, wanawake wangelikuwa wapi; na kama wote tutakuwa wanawake, wanaume watatoka wapi? Tafakarini.
Chanzo: Nipashe Jumamosi leo.
Posted by Ndugu Nkwazi N Mhango at 21:27

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Cordially and unlimitedly welcome to this blog.


Writing and reading are two different processes but which share the same goal-to educate, communicate and entertain.
It is my pleasure to have you as the guest of this tablet.
I, thus, warmly and always, welcome you to share ideas.
Importantly and eminently, shall there be anything amiss or you think can advance this blog, please donate it.
Allow me to humbly and kindly welcome you once again.
Nkwazi N Mhango- A Man And a Half

When wisdom brings no profit, to be wise is to suffer. Not all thoughts are good and constructive. Others are even worse than bullets. The good thinkers are the ones that think constructively for the manumission of all bin-Adams regardless their diversity. Mwl. Nkwazi N Mhango,
Canada.


Hail Mama SWAPO Nandi-Ndaitwah

Hail Mama SWAPO Nandi-Ndaitwah

I Love My Country Tanzania

I Love My Country Tanzania

The Curse of Salvation

The Curse of Salvation

Gen Z and Internet Revolution

Gen Z and Internet Revolution

I Cry for Ambazonia and Darfur

I Cry for Ambazonia and Darfur

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do.

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do.

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Yoo-hoo, Africa Is Yowling

Yoo-hoo, Africa Is Yowling

The Story of Stories

The Story of Stories

The Chant of Savant

The Chant of Savant

AFRICA’S CONTEMPORARY FOOD INSECURITY Self-inflicted Wounds through Modern Veni Vidi Vici and Land G

AFRICA’S CONTEMPORARY FOOD INSECURITY Self-inflicted Wounds through Modern Veni Vidi Vici and Land G

AFRICA MUST DEAL WITH BLATS FOR ITS TRUE DECOLONISATION

AFRICA MUST DEAL WITH BLATS FOR ITS TRUE DECOLONISATION

Epistle to Afrophobic South Africa

Epistle to Afrophobic South Africa

Magufulification

Magufulification

BORN NUDE

BORN NUDE

Total Pageviews

Heko Rais Magufuli

Heko Rais Magufuli

DECOLONISING EDUCATION

DECOLONISING EDUCATION

Kudos President Magufuli

Kudos President Magufuli

JOKEY HORSE-JOCKEY NORTH-SOUTH RAPPORT Diagnostic-cum-Prognostic-Academic Perspectives on Who Truly

JOKEY HORSE-JOCKEY NORTH-SOUTH RAPPORT Diagnostic-cum-Prognostic-Academic Perspectives on Who Truly

The Family Friend of Animals

The Family Friend of Animals
Children's Book

Matembezi Mbuga ya Wanyama

Matembezi Mbuga ya Wanyama
Kitabu cha Watoto

Our Heritage

Our Heritage
Children's Book

How Africa Developed Europe:Deconstructing the His-story of Africa, Excavating Untold Truth...

How Africa Developed Europe:Deconstructing the His-story of Africa, Excavating Untold Truth...

Africa's Dependency Syndrome: Can Africa Turn Things around for the Better?

Africa's Dependency Syndrome: Can Africa Turn Things around for the Better?

'Is It Global War on Terror' or Global War on Terra Africana?

'Is It Global War on Terror' or Global War on Terra Africana?

Perpetual Search

Perpetual Search

Africa's Best and Worst Presidents

Africa's Best and Worst Presidents

Psalm of the Oppressed

Psalm of the Oppressed
Psalm of the Oppressed

AFRICA REUNITE or PERISH

AFRICA REUNITE or PERISH
A new approach towards empowering Africa

BORN WITH VOICE

BORN WITH VOICE

Soul on Sale

Soul on Sale

Soul on Sale

Nyuma ya Pazia

Nyuma ya Pazia

We are one

We are one

SAA YA UKOMBOZI

SAA YA UKOMBOZI

Feel at home

You are always welcome to this epistle again and again time after time, ad infinitum.


Most read Posts

  • Sarkozy’s Take on African Fat Cats a Welcome Move
    At last the chicken are coming home to roost! French authorities made a groundbreaking decision by culling three most corrupt African presid...
  • Napanga kuanza kuuza mitumba na si maneno
    Ingawa mimi si mtumba, napanga kuuza mitumba. Nimechoshwa na jamii ya mitumba. Kila kitu mitumba. Mitumba, mitumba mitupu. Siasa za mitumba...
  • Better or Bitter Life for all?
    When I deeply muse on how an arrogant and brutal cabal of hoity toity (Coverted Con Men (CCM)) is tirelessly hoodwinking and dividing the ho...
  • Africa's Becoming more Despotic and Nepotistic
    "King of Kings" Gaddaffi The seven-day 40th anniversary of Libya strongman’s autocratic rule and charade elections in Gabon where...
  • Kuna siku tutataifisha haya mahekalu haki ya nani
    Taarifa kuwa waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige alinunua nyumba kwa zaidi ya shilingi bilioni moja licha ya kuwastua wananchi na...
  • Nyangumi mdogo akutwa amekufa ufukweni BC
    Hii ni picha iliyotolewa ya Nyangumi aina ya Humpback ambaye alikumbwa na maji na kutupwa kwenye ufukwe wa bahari ya Pasifiki kwenye eneo l...
  • Kikwete, Charity Begins at Home!
    President Jakaya Kikwete Pea...
  • Kweli binadamu si chochote wala lolote, wamkumbuka huyu?
    Walioko madarakani mkiabudiwa kama miungu au sanamu kumbukeni vijana hawa hata baba zao  ambao maiti zao zinaoza jangwani. Ungewaambia...
  • Pinda kulia hakutoshi, awajibike
    INGAWA kilio cha Waziri Mkuu, Mizengo Peter Kayanza Pinda, kinaonekana kuyeyusha hasira za Watanzania kwa muda, kuna haja ya kudodosa zaidi....
  • Hawa si wachungaji bali ni fisi na mbwa mwitu
    KUMEZUKA mtindo mchafu na wa rejareja wa baadhi ya wachumia tumbo na matapeli kumtania hata kumtumia Mwenyezi Mungu kufanya utapeli na ujamb...

Followers

Blog Archive

  • ►  2025 (84)
    • ►  December (1)
    • ►  November (11)
    • ►  October (9)
    • ►  September (7)
    • ►  August (12)
    • ►  July (8)
    • ►  June (7)
    • ►  May (5)
    • ►  April (4)
    • ►  March (6)
    • ►  February (8)
    • ►  January (6)
  • ►  2024 (92)
    • ►  December (7)
    • ►  November (4)
    • ►  October (11)
    • ►  September (9)
    • ►  August (7)
    • ►  July (9)
    • ►  June (9)
    • ►  May (8)
    • ►  April (7)
    • ►  March (6)
    • ►  February (7)
    • ►  January (8)
  • ►  2023 (118)
    • ►  December (10)
    • ►  November (10)
    • ►  October (9)
    • ►  September (2)
    • ►  August (4)
    • ►  July (6)
    • ►  June (9)
    • ►  May (8)
    • ►  April (18)
    • ►  March (13)
    • ►  February (9)
    • ►  January (20)
  • ►  2022 (208)
    • ►  December (14)
    • ►  November (14)
    • ►  October (20)
    • ►  September (20)
    • ►  August (12)
    • ►  July (25)
    • ►  June (22)
    • ►  May (18)
    • ►  April (13)
    • ►  March (18)
    • ►  February (18)
    • ►  January (14)
  • ►  2021 (323)
    • ►  December (23)
    • ►  November (34)
    • ►  October (26)
    • ►  September (13)
    • ►  August (19)
    • ►  July (21)
    • ►  June (29)
    • ►  May (25)
    • ►  April (23)
    • ►  March (43)
    • ►  February (29)
    • ►  January (38)
  • ►  2020 (290)
    • ►  December (33)
    • ►  November (37)
    • ►  October (28)
    • ►  September (35)
    • ►  August (31)
    • ►  July (26)
    • ►  June (17)
    • ►  May (21)
    • ►  April (18)
    • ►  March (15)
    • ►  February (17)
    • ►  January (12)
  • ►  2019 (160)
    • ►  December (8)
    • ►  November (7)
    • ►  October (12)
    • ►  September (9)
    • ►  August (27)
    • ►  July (18)
    • ►  June (18)
    • ►  May (11)
    • ►  April (11)
    • ►  March (9)
    • ►  February (16)
    • ►  January (14)
  • ►  2018 (162)
    • ►  December (12)
    • ►  November (6)
    • ►  October (13)
    • ►  September (10)
    • ►  August (20)
    • ►  July (9)
    • ►  June (14)
    • ►  May (9)
    • ►  April (16)
    • ►  March (21)
    • ►  February (17)
    • ►  January (15)
  • ▼  2017 (306)
    • ►  December (20)
    • ►  November (23)
    • ►  October (20)
    • ►  September (26)
    • ►  August (31)
    • ▼  July (31)
      • Waswahili Wasiojua Mateso na Umaskini wa Magabacho...
      • Kwanini Hamad na Lipumba wamejivika kitanzi?
      • Kafulila, Magufuli,Tumbili na We-rema
      • Farewell Robert Mugabe!
      • Time for our neighbours to right their past mistakes
      • Baada ya Escrow Lugumi na UDA nao watumbuliwe
      • Kijiwe kwenda Ukonga kuwasalimia akina Escrew
      • Wiki hii namkumbuka shujaa wangu Mahlathini
      • Magufuli atafanikiwa kutumikia mabwana wawili?
      • Je ni kweli Magufuli anapanga kuiba kura Kenya?
      • Kwa Weekend faidi hii kitu
      • Wanaopinga si wapumbavu bali wasiotaka kupingwa
      • IPTL is not a grave – it’s a massive graveyard
      • Leo Tumetimiza miaka 19 ya Ndoa
      • Baada ya Escrow Lugumi na UDA nao watumbuliwe
      • Kijiwe kwenda Ukonga kuwasalimia akina Escrew
      • Je ni kipi kimemsibu rais Kabila hadi akavimba jicho?
      • Mkapa: Better keep your mouth shut
      • Uwajibikaji: Heri Mkapa angejinyamazia
      • Barua ya wazi kwa wanufaika wa Escrew
      • Kati ya wapinzani na Mkapa nani mpumbavu?
      • Is DART transformative or transgressive?
      • Barua ya wazi kwa Halima Mdee
      • Kijiwe chakumbushia uchunguzi wa uvamizi wa Klouds
      • Will Kenyans Celebrate or Mourn Nicholas Biwott?
      • Kumpinga rais au serikali si jinai
      • Bi Mkubwa wangu kweli Mwanaume kama Akashia!
      • Fighting corruption: A lesson from South Korea
      • Ama kweli aliyeko juu mngoje chini! Nani alitegeme...
      • Wizi wa Escrow tuanze na IPTL
      • Sijui hapa binadamu ni yupi na wanyama ni wapi
    • ►  June (34)
    • ►  May (26)
    • ►  April (24)
    • ►  March (20)
    • ►  February (28)
    • ►  January (23)
  • ►  2016 (269)
    • ►  December (22)
    • ►  November (21)
    • ►  October (22)
    • ►  September (15)
    • ►  August (12)
    • ►  July (27)
    • ►  June (24)
    • ►  May (23)
    • ►  April (29)
    • ►  March (26)
    • ►  February (27)
    • ►  January (21)
  • ►  2015 (399)
    • ►  December (34)
    • ►  November (24)
    • ►  October (22)
    • ►  September (34)
    • ►  August (29)
    • ►  July (37)
    • ►  June (22)
    • ►  May (32)
    • ►  April (35)
    • ►  March (46)
    • ►  February (47)
    • ►  January (37)
  • ►  2014 (502)
    • ►  December (47)
    • ►  November (49)
    • ►  October (47)
    • ►  September (37)
    • ►  August (40)
    • ►  July (42)
    • ►  June (30)
    • ►  May (35)
    • ►  April (47)
    • ►  March (44)
    • ►  February (39)
    • ►  January (45)
  • ►  2013 (399)
    • ►  December (37)
    • ►  November (27)
    • ►  October (31)
    • ►  September (26)
    • ►  August (33)
    • ►  July (39)
    • ►  June (28)
    • ►  May (40)
    • ►  April (44)
    • ►  March (39)
    • ►  February (26)
    • ►  January (29)
  • ►  2012 (597)
    • ►  December (27)
    • ►  November (26)
    • ►  October (27)
    • ►  September (30)
    • ►  August (47)
    • ►  July (94)
    • ►  June (86)
    • ►  May (119)
    • ►  April (83)
    • ►  March (23)
    • ►  February (17)
    • ►  January (18)
  • ►  2011 (261)
    • ►  December (20)
    • ►  November (19)
    • ►  October (20)
    • ►  September (21)
    • ►  August (27)
    • ►  July (12)
    • ►  June (15)
    • ►  May (20)
    • ►  April (27)
    • ►  March (32)
    • ►  February (24)
    • ►  January (24)
  • ►  2010 (205)
    • ►  December (25)
    • ►  November (23)
    • ►  October (23)
    • ►  September (23)
    • ►  August (17)
    • ►  July (13)
    • ►  June (12)
    • ►  May (10)
    • ►  April (18)
    • ►  March (9)
    • ►  February (16)
    • ►  January (16)
  • ►  2009 (163)
    • ►  December (19)
    • ►  November (14)
    • ►  October (11)
    • ►  September (6)
    • ►  August (12)
    • ►  July (9)
    • ►  June (11)
    • ►  May (20)
    • ►  April (22)
    • ►  March (14)
    • ►  February (12)
    • ►  January (13)
  • ►  2008 (191)
    • ►  December (12)
    • ►  November (11)
    • ►  October (14)
    • ►  September (15)
    • ►  August (16)
    • ►  July (23)
    • ►  June (10)
    • ►  May (19)
    • ►  April (16)
    • ►  March (19)
    • ►  February (17)
    • ►  January (19)
  • ►  2007 (33)
    • ►  December (13)
    • ►  November (20)

About Me

My photo
View my complete profile

Travel theme. Powered by Blogger.