Friday, 19 November 2010

Kumbe na miamba hutikiswa!



3 comments:

SIMON KITURURU said...

Hii aliyeiona LIVE hawezi kuisahau!

Ila katika miamba AFRIKA au tu TANZANIA kuna mpaka akina CCM ambao nadhani wanaanza kusikia MTIKISIKO.

Anonymous said...

CCM watikisike mara ngapi? Wanaingia kwenye vitabu vya historia kama chama kilichozalisha rais fisadi kuliko wote waliowahi kuongoza na kutawala Bongo. Kiwete namwona kama huyo mamba ambaye amepatikana na kutolewa kwenye maji (ujiko na majivuno).

Melissarcin said...

Hii aliyeiona LIVE hawezi kuisahau! Ila katika miamba AFRIKA au tu TANZANIA kuna mpaka akina CCM ambao nadhani wanaanza kusikia MTIKISIKO.