Thursday, 18 November 2010

Msaidieni Vladimir Putin jamani

Kumbe mbwa kwa watawala ni mali kuliko umma!
Je angekuwa mtawala wako ungemshauri nini?

Je hili ndilo wanalohitaji Warusi?The three-month old Karakachan dog was a gift from Mr Putin's Bulgarian counterpart after Moscow and Sofia signed a series of accords to boost the South Stream gas pipeline.

A government statement on its official website said anybody could send in a suggestion for the dog's name.

News of the contest received a mixed reception from people on the streets of Moscow.

One commuter said: "I won't be taking part in the contest because I am not concerned about the President's dog. There are many more serious things to ask the people of this country. I won't be taking part."

The puppy will have to share the spotlight with Putin's beloved black Labrador Connie, who is 11.

3 comments:

SIMON KITURURU said...

Nimekutana na watu hasa huku nchi za magharibi ambao nafikiri wameshapoteza tofauti ya MBWA na mtu na nirahisi kwao hata kulia wakisikia Mbwa kanyanyaswa kuliko wakisikia jirani kafa!:-(

Na bado huwa nakunakichwa nikisikia mtu alivyobize akiongea na mbwa wake kama vile mbwa anaelewa kila kitu kama binadamu .:-(

Na ingawa kupenda wanyama ni kitu kizuri ila kunawakati naona makundi kama PETA yamepitiliza katika hili swala za haki za wanyama!

Anonymous said...

Kitururu you are right. Umenikumbusha kisa kimoja hapa Ulaya ambapo mwanafunzi wa kiafrika alimuuliza mwalimu wake mbaguzi kuwa ni kwanini alikuwa akimbagua yeye lakini si mbwa?

Wakati mwingine wazungu ni watu wa ajabu sana. Wana hulka ya kupenda mbwa kuliko hata ndugu zao achilia mbali kuwabagua wengine.

Jaribu said...

Wazungu wanapenda control. Mbwa hawezi kukubishia, lakini binadamu mwenzako hata ukimzaa hawezi kukubalika kila kitu.