Monday, 26 November 2012

Uingereza yamteua Mkanada kwa gavana wa Benki Kuu

Gavana wa Benki Kuu ya Kanada Mark J Carney (47) ameuliwa na waziri wa fedha wa Uingereza George Osborne kuwa gavana mkuu wa Benki Kuu ya Uingereza. Uteuzi huu usiozingatia mipaka umewashangaza wengi ingawa Carney anajulikana alivyo gwiji wa masuala ya fedha. Sifa iliyomfanya Carney ateuliwe ni uwezo wake wa kuhimili msisukosuko ya kiuchumi iliyoikumba dunia. Akiwa gavana wa Benki ya Kanada, Carney ameweza kusimamia Benki hiyo na kuifanya Kanada kuwa nchi mojawapo inayoheshimika kiuchumi duniani. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: