The Chant of Savant

Thursday 1 November 2012

Rais wetu kijina anazidi kuwa kijana


Rais Jakaya Kikwete akiangalia kopo la tangawizi  huko Mambakati Same alikozindua kiwanda cha Tangawizi. Kumbe uzee ushamnyemelea! Inaonekana hapa watu wake wa saluni walisahau kumpamba vilivyo kama siyo wapiga picha kukosea angel ya kuchukua picha.

1 comment:

Anonymous said...

Kumbe JK mwenyewe kibabu! Kweli ukubwa unaficha mengi.