Thursday, 7 February 2013

Huyu ni mhehshimiwa au muishiwa?

Mbunge wa Tabora Mjini Aden Rage (CCM) akinyang'anyana mlingoni na mfuasi wa CHADEMA wakati wa kugombea mlingoti huo hivi karibuni jijini Dodoma. Ni jambo la kipuuzi kwa mtu anayetiwa mheshimiwa mwakillishi wa wananchi kushiriki upuuzi kama huu. Baada ya tukio hilo kulitokea shutuma kuwa Rage na baadhi ya wabunge na wafuasi wao waliwapiga na kuaumiza wafuasi wa CHADEMA. Je huyu kweli ni mheshimiwa au muishiwa? Na hii si mara ya kwanza kwa Rage kufanya uhuni. Rejea alipopanda jukwaani kwenye kampeni za uchaguzi mdogo huko Igunga hapo Septemba 2010.

No comments: