Omnia mutantur nos et mutamur in illis
Moyo ndi mabvuto
Thursday, 28 February 2013
Hii kitu noma!
Hotel ndefu kuliko zote duniani, Marriott's Marquis Hotel Dubai yenye urefu wa futi 1099. Je wenzetu wameamua kuwekeza umangani kuepuka magaidi kushambulia mali zao kwa vile ndiko mazalia yao? Je hii kasi itafika lini Afrika?
1 comment:
Mmmhhh! itafika ila si kwa kazi hivi ..nakumbuka ule msemo usemao ..Hakuna haraka afrika...
Post a Comment