Wednesday, 9 October 2013

Breaking news: Waziri mkuu wa Libya atakwe!


Waziri Mkuu wa Libya Zeidan pichani.
Habari zilizotufikia ni kwamba waziri mkuu wa Libya Ali Zeidan  alitekwa na wanamgambo wasiojulikana. Habari zinasema kuwa Zeidan alichukuliwa toka kwenye makazi yake kwenye hoteli ya Corinthia karibu na mjini Tripoli. Habari nyingine zisizothitishwa zinasema kuwa Zeidan amewekwa kizuizini. Bado hali ni tete. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.

No comments: