Wednesday, 26 February 2014

Ukweli usiopingika

Je Katuni hii inaweza kuvumbua aina nyingine ya majangili ukiachia wale wa maofisini na maajenti wao mbugani? Je katika wale 40 anaowajua na kuwachunia rais Jakaya Kikwete na huyu yumo? Maswali ni mengi kuliko majibu.

No comments: