Thursday, 14 August 2014

Nani alaumiwe hapa

A boda boda takes six children to school in Kisumu. They had to hang on to his jacket to avoid falling off. PHOTO | JACOB OWITImotorbikecow
Hapa nani alaumiwe kati ya serikali zinazoruhusu jinai hii, wanaoendesha boda boda na abiria? Ama kweli usikia dunia gunia ndiyo huku. Jamani tumeshindwa hata ubunifu wa kwenda mbele badala yake tunafanya ubunifu wa kwenda kuzimu? Je ni shida au ukosefu wa ubunifu wa maana? Ni maswali binafsi tu. Je wewe unaonaje hapa?
                                                                                             

4 comments:

Anonymous said...

Ubadhirifu na rushwa ndiyo matokeo yake

NN Mhango said...

Anon usemayo ni kweli tupu kuwa ubadhirifu umeingia vichwani sasa.

Anonymous said...

CCM kwani ndo serikali yetu
boda boda wengi wao ni makada wa CCM
Bongo hufanyi biashara kama si CCM

NN Mhango said...

Anon umeniacha hoi. Sasa nimelewa kuwa hata hii biashara ya bangi na ujambazi ina ufadhili wa CCM nyuma yake.