Saturday, 30 August 2014

Picha ya mwezi

Kuandamana na bi mkubwa kwenye utendaji muhimu.  Au vipi? Tulipendeza eh! (Picha ilipigwa na binti yetu Ndiza)

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Yaani mlitokezea ile mbaya ama kweli picha ya wiki. Nimeipenda sketi ya wifi yangu...:-)

NN Mhango said...

Da Yacinta shukrani na nitamwambia wifiyo akutafutia nyingine kama hiyo. Ubarikiwe na familia yako.

Anonymous said...

hapo mwake hakuna ziada ya kuongeza mwalimu!

NN Mhango said...

Anon nakushukuru si vibaya kuongeza hata japo ziada kidogo au vipi?

Anonymous said...

Kweli mmependeza.

NN Mhango said...

Anon tunakushukuru sana na karibu tena uache unyayo kila upitapo hapa.

Yasinta Ngonyani said...

Duh! Nitsfurahi...kwa mara nyingine tena mmependeza sana

NN Mhango said...

Shukrani da Yacinta kwa kuwa mgeni wetu wa mara kwa mara. Ubarikiwe na kupendekeza pia.