The Chant of Savant

Tuesday 5 August 2014

Hii ngoma mwaionaje jamani?

Ngoma hii inaitwa Isukuti ya Waluhya wa huko Magharibi mwa Kenya. Huwa napenda miziki yao na kukumbuka nilivyoishi nao vizuri.

No comments: