Wednesday, 13 April 2016

Hii kitu nimeipenda sana


Hakuna kitu kilikuwa kikinikera kama ujambazi wa kutumia ofisi ya rais kwa wake zao kujitajirisha. Hili nilishaliandikia sana hadi baadhi ya waathirika wakadhani nilikuwa na ugomvi binafsi. Msanii hapa amefikisha ujumbe kisawasawa. Watu wamechoka na ujambazi wa wake za wakubwa. Nadhani Dk Kanywaji na mkewe wataisoma hii na kuizingatia.
Chanzo: Msomaji wangu Sirili Akko Miontini.

No comments: