Sunday, 3 April 2016

Mizigo yenu

Wanguni au wangoni -kama wanavyoitwa Tanzania, Wanyasa, Washona na wote wenye asili ya kule watafaidi ujumbe uliomo kwenye wimbo huu hasa wale wanaoamini katika kutoleana sadaka na kumwagiana damu ukiacha mbali kula mwili wa wenzao wasiitwe wala watu.
Wachukua mzigo wangu wa dhambi (umthwalo wa isono zami) pale Kalvari
Nanyi pelekeni mizigo yenu (imithwalo ya isono zenu) ya dhambi Kalvari


No comments: