Tuesday, 11 October 2016

Hata kama hujui kiNdebele, muziki huu unakumbusha nini?

Upendo huu! Hauna cha tajiri wala maskini.
Hauchagui hata wapi kuuonyesha wala namna ya kuuonyesha. Hauna wakati wala eneo. Unaongea kwa lugha zote katika zama zote. Hapa nadhani wale waliokuwa bitoz wananipata. Walio kwenye umri wa kati wa maisha yao wanapata ujumbe kuliko vijana wa kisasa ambao hawakuonja enzi hii neema. Zama hizo fedha haikuwa chochote bali upendo.
umepewa majina mengi. Upendo, Uthando, luthando, Chikondi, Rudo, l'Amour, Love. laskas, rakus,amastus,sayang, die liebe, meile, dragoste, ijubezen, Zamilowanie,Rata, Son, Jeclahay, Wendo n.k. Je umepnda nini katika kitu hiki kuanzia Ng'ombe, muziki, tabasamu, mavazi, kusaidiana, michezo n.k?

No comments: