Saturday, 8 October 2016

Hayawi hayawi! Afrika yapata treni ya kwanza ya umeme

Image result for photos of ethiopian electric train
Nchi ya Ethiopia inaingia kwenye vitabu vya historia kama nchi ya kwanza kuwa na Treni ya umeme ukiondoa Afrika Kusini katika Afrika. Hivi karibuni mradi wa ujenzi wa Treni ya umeme kutoka Addis-Ababa kwenda Jibuti ulitangazwa kutarajia kukamilika na kufunguliwa. Pia nchi ya Senegal iko mbioni kuwa na treni ya umeme lakini fupi itakayohudumia mji mkuu wa Dakar. Tunaipongeza Ethiopia kwa mafanikio haya. Pia wiki hii Ethiopia imefanikiwa kuipiku kenya na kuwa kinara wa uchumi mkubwa katika Afrika Mashariki. Kwa habari zaidi tafadhali BONYEZA HAPA.

No comments: