Free Thinking

I Fear Nothing But Fear Itself

The Curse for Salvation

The Curse for Salvation

Saturday, 8 October 2016

Tunapogeuka kaya ya wapumbavu na wanayama!

          Wiki hii mlevi sikupata vile vitu vyangu. Nilikuwa kwenye msiba hata kama uliwahusu wachovu ambao sikuwahi kukutana nao. Baada ya kunyaka taarifa kuwa wanakaya kwenye kijiji cha Iringa Mvumi waliamua kuwanyotoa roho wataalamu wa kupima udongo ili kuwawezesha kuzalisha vyakula vya kuwatosha, nilijihisi kupasuka kwa hasira. Nilitamani nichukue cha moto na kwenda kutangaza mauaji ya halaiki. Hata hivyo, niligundua kuwa hili si jibu.
            Kuna mambo muhimu ya kujifunza tokana na kadhia hii hata kama ni ya kilevi na kinyama.
            Mosi, kuna haja ya kuhakikisha wote walioshiriki jinai hii wanakamatwa na kutupwa lupango wakingoja kuwa na date na pilato ili wapewe stahiki yao kisharia.
            Pili, nashauri sirikali ianzishe tena elimu ya ngumbalu ili kuondoa huu ujinga uliokwamia kwenye akili za baadhi ya walevi hasa wa kule mashambani ambao wanaweza kupwakia kila upuuzi hata bila kutumia bongo zao. Unategemea nini unapokuwa na kaya inayotumia masaburi kufikiri badala ya bichwa?
            Tatu, kaya ianze safari ya kupiga vita kila aina ya ushirikina uwe ni wa kidini, kisiasa, hata kijamii. Nadhani hapa tunaweza kuona matokeo ya kuruhusu matapeli fulani kuwajaza walevi woga na kuwaibia ima kwa kuwahubiria dini au kujifanya waganga njaa wa jadi. Ama kweli ujinga ni zigo kubwa tena la manonihino! Nani angeamini kuwa hata mchungaji ambaye amethibitisha kuwa wengi ni wachunaji angeshirika dhambi hii? Je tunao wachunaji wapumbavu na katili kama hawa kiasi gani kayani? Rejea kutamalaki kwa dini za kishirikina, kilaji, waganganjaa wa jadi na matapeli kila aina bila kusahau hata vyama vya siasa vinavyoendesha siasa za kitapeli kama vile vinavyomilkiwa na walevi binafsi wakivigeuza NGO zao za kutengenezea njuluku.
            Nne, tuanze mchakato wa kuondoa kaya yetu kwenye unafiki wa kimfumo ambapo halaiki ya walevi hujisikia raha na kushabikia kuua vidokozi na vibaka huku wakinyenyekea na kushobokea mibaka kama ile ya Escrow, Epa, UdA, Kagoda, na mingine mingi iliyotamalaki na kutapakaa kayani. Angalia vibinti vyetu vinavyonyotolewa na ngoma kutokana na ujinga na umaskini na hakuna anayehoji wala kuwa mkali!
        Tano, kaya inapaswa kuanza safari ya kuusaka ubinadamu na kuuzika unyama na uhayawani kama ulioonyeshwa na walevi wa kule Mvumi Iringa. Tumegeuka kaya ya samaki ambao hulani kulingana na saizi.
            Sita, lazima tuanze kuwashughulikia walioteka uhuru wetu huku wakichezea kaya yetu kiasi cha kuacha walevi wawe wajinga, majuha na wakatili wa kutupa kiasi hiki. Kaya haiwezi kuwa salama wakati imejaa mijitu mipumbavu na mikatili inayoweza kufanya lolote ima tokana na woga au kutafuta rizi.  Nani haoni wanavyonyotoa roho walevi wenye ulemavu wa ngozi? Unategemea nini unapokuwa na kaya walevi walio wengi wajinga wanaoweza kuamini kila kitu? Mijitu imekuwa mikatili hadi inauana. Hata hivyo, tuna bahati, zingekuwa zama za utumwa tungeuzana kwa sana kama walivyofanya baadhi ya mababu zetu wenye roho mbaya.
Saba, nashauri kitaalamu kuwa kila kijiji kiwe na kituo kidogo cha ndata ambao wanaweza kusaidia kuzuia unyama na upuuzi kama huu tunaoogelea.
Nane, wataalamu au walevi wetu wanaoingia kwenye maeneo mageni ima wapewe ulinzi wa askari au waruhusiwe kupeperusha bendera ya taifa kwenye magari yao. Kwani, walevi wetu wamezoeshwa kuogopa bendera kama alama ya sirikali. Pia nashauri sirikali izifidie vilivyo familia za wahanga wa ujinga wa taifa unaotishia kuliteketeza taifa letu.
            Kabla ya kusahau, nadhani yote yaliyopendekezwa hapo juu hayawezi kufanyika wala kufanikiwa bila kuwa na ile kitu iliyouawa na mafwisadi wenye ulaji kuogopa kunyea debe yaani KATIBA MPYA. Chonde chonde wahusika. Turejesheeni katiba yetu mpya ya walevi ili tuitumie kurekebisha na kukomboa kaya yetu inayoendelea kutopea kwenye mikono michafu ya mafwisadi na sasa wauaji! Ni hatari; hasa tunapogeuka kaya ya wapumbavu na wanayama.
Chanzo: Nipashe Jumamosi leo.
Posted by Ndugu Nkwazi N Mhango at 06:09

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Cordially and unlimitedly welcome to this blog.


Writing and reading are two different processes but which share the same goal-to educate, communicate and entertain.
It is my pleasure to have you as the guest of this tablet.
I, thus, warmly and always, welcome you to share ideas.
Importantly and eminently, shall there be anything amiss or you think can advance this blog, please donate it.
Allow me to humbly and kindly welcome you once again.
Nkwazi N Mhango- A Man And a Half

When wisdom brings no profit, to be wise is to suffer. Not all thoughts are good and constructive. Others are even worse than bullets. The good thinkers are the ones that think constructively for the manumission of all bin-Adams regardless their diversity. Mwl. Nkwazi N Mhango,
Canada.


Hail Mama SWAPO Nandi-Ndaitwah

Hail Mama SWAPO Nandi-Ndaitwah

I Love My Country Tanzania

I Love My Country Tanzania

The Curse of Salvation

The Curse of Salvation

Gen Z and Internet Revolution

Gen Z and Internet Revolution

I Cry for Ambazonia and Darfur

I Cry for Ambazonia and Darfur

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do.

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do.

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Liberal Peace Conflict, Gender, and Peacebuilding

Yoo-hoo, Africa Is Yowling

Yoo-hoo, Africa Is Yowling

The Story of Stories

The Story of Stories

The Chant of Savant

The Chant of Savant

AFRICA’S CONTEMPORARY FOOD INSECURITY Self-inflicted Wounds through Modern Veni Vidi Vici and Land G

AFRICA’S CONTEMPORARY FOOD INSECURITY Self-inflicted Wounds through Modern Veni Vidi Vici and Land G

AFRICA MUST DEAL WITH BLATS FOR ITS TRUE DECOLONISATION

AFRICA MUST DEAL WITH BLATS FOR ITS TRUE DECOLONISATION

Epistle to Afrophobic South Africa

Epistle to Afrophobic South Africa

Magufulification

Magufulification

BORN NUDE

BORN NUDE

Total Pageviews

Heko Rais Magufuli

Heko Rais Magufuli

DECOLONISING EDUCATION

DECOLONISING EDUCATION

Kudos President Magufuli

Kudos President Magufuli

JOKEY HORSE-JOCKEY NORTH-SOUTH RAPPORT Diagnostic-cum-Prognostic-Academic Perspectives on Who Truly

JOKEY HORSE-JOCKEY NORTH-SOUTH RAPPORT Diagnostic-cum-Prognostic-Academic Perspectives on Who Truly

The Family Friend of Animals

The Family Friend of Animals
Children's Book

Matembezi Mbuga ya Wanyama

Matembezi Mbuga ya Wanyama
Kitabu cha Watoto

Our Heritage

Our Heritage
Children's Book

How Africa Developed Europe:Deconstructing the His-story of Africa, Excavating Untold Truth...

How Africa Developed Europe:Deconstructing the His-story of Africa, Excavating Untold Truth...

Africa's Dependency Syndrome: Can Africa Turn Things around for the Better?

Africa's Dependency Syndrome: Can Africa Turn Things around for the Better?

'Is It Global War on Terror' or Global War on Terra Africana?

'Is It Global War on Terror' or Global War on Terra Africana?

Perpetual Search

Perpetual Search

Africa's Best and Worst Presidents

Africa's Best and Worst Presidents

Psalm of the Oppressed

Psalm of the Oppressed
Psalm of the Oppressed

AFRICA REUNITE or PERISH

AFRICA REUNITE or PERISH
A new approach towards empowering Africa

BORN WITH VOICE

BORN WITH VOICE

Soul on Sale

Soul on Sale

Soul on Sale

Nyuma ya Pazia

Nyuma ya Pazia

We are one

We are one

SAA YA UKOMBOZI

SAA YA UKOMBOZI

Feel at home

You are always welcome to this epistle again and again time after time, ad infinitum.


Most read Posts

  • Sarkozy’s Take on African Fat Cats a Welcome Move
    At last the chicken are coming home to roost! French authorities made a groundbreaking decision by culling three most corrupt African presid...
  • Napanga kuanza kuuza mitumba na si maneno
    Ingawa mimi si mtumba, napanga kuuza mitumba. Nimechoshwa na jamii ya mitumba. Kila kitu mitumba. Mitumba, mitumba mitupu. Siasa za mitumba...
  • Better or Bitter Life for all?
    When I deeply muse on how an arrogant and brutal cabal of hoity toity (Coverted Con Men (CCM)) is tirelessly hoodwinking and dividing the ho...
  • Africa's Becoming more Despotic and Nepotistic
    "King of Kings" Gaddaffi The seven-day 40th anniversary of Libya strongman’s autocratic rule and charade elections in Gabon where...
  • Kuna siku tutataifisha haya mahekalu haki ya nani
    Taarifa kuwa waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige alinunua nyumba kwa zaidi ya shilingi bilioni moja licha ya kuwastua wananchi na...
  • Nyangumi mdogo akutwa amekufa ufukweni BC
    Hii ni picha iliyotolewa ya Nyangumi aina ya Humpback ambaye alikumbwa na maji na kutupwa kwenye ufukwe wa bahari ya Pasifiki kwenye eneo l...
  • Kikwete, Charity Begins at Home!
    President Jakaya Kikwete Pea...
  • Kweli binadamu si chochote wala lolote, wamkumbuka huyu?
    Walioko madarakani mkiabudiwa kama miungu au sanamu kumbukeni vijana hawa hata baba zao  ambao maiti zao zinaoza jangwani. Ungewaambia...
  • Pinda kulia hakutoshi, awajibike
    INGAWA kilio cha Waziri Mkuu, Mizengo Peter Kayanza Pinda, kinaonekana kuyeyusha hasira za Watanzania kwa muda, kuna haja ya kudodosa zaidi....
  • Hawa si wachungaji bali ni fisi na mbwa mwitu
    KUMEZUKA mtindo mchafu na wa rejareja wa baadhi ya wachumia tumbo na matapeli kumtania hata kumtumia Mwenyezi Mungu kufanya utapeli na ujamb...

Followers

Blog Archive

  • ►  2025 (84)
    • ►  December (1)
    • ►  November (11)
    • ►  October (9)
    • ►  September (7)
    • ►  August (12)
    • ►  July (8)
    • ►  June (7)
    • ►  May (5)
    • ►  April (4)
    • ►  March (6)
    • ►  February (8)
    • ►  January (6)
  • ►  2024 (92)
    • ►  December (7)
    • ►  November (4)
    • ►  October (11)
    • ►  September (9)
    • ►  August (7)
    • ►  July (9)
    • ►  June (9)
    • ►  May (8)
    • ►  April (7)
    • ►  March (6)
    • ►  February (7)
    • ►  January (8)
  • ►  2023 (118)
    • ►  December (10)
    • ►  November (10)
    • ►  October (9)
    • ►  September (2)
    • ►  August (4)
    • ►  July (6)
    • ►  June (9)
    • ►  May (8)
    • ►  April (18)
    • ►  March (13)
    • ►  February (9)
    • ►  January (20)
  • ►  2022 (208)
    • ►  December (14)
    • ►  November (14)
    • ►  October (20)
    • ►  September (20)
    • ►  August (12)
    • ►  July (25)
    • ►  June (22)
    • ►  May (18)
    • ►  April (13)
    • ►  March (18)
    • ►  February (18)
    • ►  January (14)
  • ►  2021 (323)
    • ►  December (23)
    • ►  November (34)
    • ►  October (26)
    • ►  September (13)
    • ►  August (19)
    • ►  July (21)
    • ►  June (29)
    • ►  May (25)
    • ►  April (23)
    • ►  March (43)
    • ►  February (29)
    • ►  January (38)
  • ►  2020 (290)
    • ►  December (33)
    • ►  November (37)
    • ►  October (28)
    • ►  September (35)
    • ►  August (31)
    • ►  July (26)
    • ►  June (17)
    • ►  May (21)
    • ►  April (18)
    • ►  March (15)
    • ►  February (17)
    • ►  January (12)
  • ►  2019 (160)
    • ►  December (8)
    • ►  November (7)
    • ►  October (12)
    • ►  September (9)
    • ►  August (27)
    • ►  July (18)
    • ►  June (18)
    • ►  May (11)
    • ►  April (11)
    • ►  March (9)
    • ►  February (16)
    • ►  January (14)
  • ►  2018 (162)
    • ►  December (12)
    • ►  November (6)
    • ►  October (13)
    • ►  September (10)
    • ►  August (20)
    • ►  July (9)
    • ►  June (14)
    • ►  May (9)
    • ►  April (16)
    • ►  March (21)
    • ►  February (17)
    • ►  January (15)
  • ►  2017 (306)
    • ►  December (20)
    • ►  November (23)
    • ►  October (20)
    • ►  September (26)
    • ►  August (31)
    • ►  July (31)
    • ►  June (34)
    • ►  May (26)
    • ►  April (24)
    • ►  March (20)
    • ►  February (28)
    • ►  January (23)
  • ▼  2016 (269)
    • ►  December (22)
    • ►  November (21)
    • ▼  October (22)
      • Serikali ikitaka kunasa wahalifu ifanye yafuatayo:
      • Kijiwe chashanga Lukuvi alivyoshughulikia kashfa Moro
      • My New Book Is Out!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
      • Prof Tibaijuka anatak kmudanganya nani?
      • Namuonea huruma Magufuli
      • Maticha wanapoonyesha uanafunzi na waziri akaurudia!
      • Kijiwe chamkumbuka mzee Mchonga
      • Soma wasfu wa Massaburi ugundue alivyoghushi udaktari
      • Magufuli kugawa ardhi ya umma HAPANA HAPANA
      • The window into my book: Africa Reunite or Perish
      • Barua kwa mzee Mchonga Nyerere
      • The guy who said hi to death!!!!
      • Kijiwe chataka scorpion askopioniwe
      • Hata kama hujui kiNdebele, muziki huu unakumbusha ...
      • Je watanzania tunaelewa tunachofanya na tunachotaka?
      • Kumbe 'usanii' unalipa!
      • Hayawi hayawi! Afrika yapata treni ya kwanza ya umeme
      • Tunapogeuka kaya ya wapumbavu na wanayama!
      • Kijiwe chalaani upumbavu wa Iringa Mvumi
      • Barua ya wazi kwa Hamad na Lipumba
      • Ungekuwa ni rais huyu mwizi wa magwanda ungemfanya...
      • Mlevi kuomba kuwa mkurugenzi wa bandari
    • ►  September (15)
    • ►  August (12)
    • ►  July (27)
    • ►  June (24)
    • ►  May (23)
    • ►  April (29)
    • ►  March (26)
    • ►  February (27)
    • ►  January (21)
  • ►  2015 (399)
    • ►  December (34)
    • ►  November (24)
    • ►  October (22)
    • ►  September (34)
    • ►  August (29)
    • ►  July (37)
    • ►  June (22)
    • ►  May (32)
    • ►  April (35)
    • ►  March (46)
    • ►  February (47)
    • ►  January (37)
  • ►  2014 (502)
    • ►  December (47)
    • ►  November (49)
    • ►  October (47)
    • ►  September (37)
    • ►  August (40)
    • ►  July (42)
    • ►  June (30)
    • ►  May (35)
    • ►  April (47)
    • ►  March (44)
    • ►  February (39)
    • ►  January (45)
  • ►  2013 (399)
    • ►  December (37)
    • ►  November (27)
    • ►  October (31)
    • ►  September (26)
    • ►  August (33)
    • ►  July (39)
    • ►  June (28)
    • ►  May (40)
    • ►  April (44)
    • ►  March (39)
    • ►  February (26)
    • ►  January (29)
  • ►  2012 (597)
    • ►  December (27)
    • ►  November (26)
    • ►  October (27)
    • ►  September (30)
    • ►  August (47)
    • ►  July (94)
    • ►  June (86)
    • ►  May (119)
    • ►  April (83)
    • ►  March (23)
    • ►  February (17)
    • ►  January (18)
  • ►  2011 (261)
    • ►  December (20)
    • ►  November (19)
    • ►  October (20)
    • ►  September (21)
    • ►  August (27)
    • ►  July (12)
    • ►  June (15)
    • ►  May (20)
    • ►  April (27)
    • ►  March (32)
    • ►  February (24)
    • ►  January (24)
  • ►  2010 (205)
    • ►  December (25)
    • ►  November (23)
    • ►  October (23)
    • ►  September (23)
    • ►  August (17)
    • ►  July (13)
    • ►  June (12)
    • ►  May (10)
    • ►  April (18)
    • ►  March (9)
    • ►  February (16)
    • ►  January (16)
  • ►  2009 (163)
    • ►  December (19)
    • ►  November (14)
    • ►  October (11)
    • ►  September (6)
    • ►  August (12)
    • ►  July (9)
    • ►  June (11)
    • ►  May (20)
    • ►  April (22)
    • ►  March (14)
    • ►  February (12)
    • ►  January (13)
  • ►  2008 (191)
    • ►  December (12)
    • ►  November (11)
    • ►  October (14)
    • ►  September (15)
    • ►  August (16)
    • ►  July (23)
    • ►  June (10)
    • ►  May (19)
    • ►  April (16)
    • ►  March (19)
    • ►  February (17)
    • ►  January (19)
  • ►  2007 (33)
    • ►  December (13)
    • ►  November (20)

About Me

My photo
View my complete profile

Travel theme. Powered by Blogger.