Sunday, 27 February 2011

Nani anahitaji ushauri hapa?


Katuni kwa hisani ya Gado

6 comments:

Anonymous said...

huo ni mchzo wa kitoto wa kujificha kwa kufucha jicho na kidole na huku mwili mzima umeuacha wazi.hawa jamaa wakasawzishe kwao kwanza

Anonymous said...

Ni kielelezo tosha cha watawala ambao uwezo wa kufikiri ni mdogo. Kwa mfano kwetu akipewa waziri anayehusika na mambo ya nje atome maoni yake nina hakika hayatatofautiana na yale ambayo tunayasikia toka kwa kijana wa Gaddafi. Ni aibu ila bado akili zao zimeganda!!

NN Mhango said...

Nakubaliana nanyi nyote hapo juu kwani watawala wetu hawana ubavu wa kuukata mkono unaowalisha. Isitoshe nao wanangoja zamu yao. Tuombe Mungu watu wetu waamke na kuwatimua Gadaffi wetu haraka sana iwezekanavyo.

Anonymous said...

Viongozi wetu kumbe hawana akili! Baada ya Gadaffi nani atafuata?

Anonymous said...

As you can see this website is full of [url=http://piratemysteru0t.typepad.com/] Pirate Mysteries: A Tale of Monkeys game[/url]

Anonymous said...

tsbsgne xay qjgrvu ghdwm arfs juz gratis douzkgh lzi iftpix uhyvr emgv vco

http://anderson6989.typepad.com/blog/2011/11/generating-revenue-via-researching-the-market-as-well-as-studies.html w