Wahafidhina nchini Mali wamekuwa wakibomoa majengo ya kihistoria. Ni majengo yanayoonyesha jinsi Uislam ulivyoingia Afrika miaka mingi iliyopita. Ni bahati mbaya kuwa wanaobomoa majengo haya nao wanajiita waislam. Je madudu haya yangefanywa na serikali tungeshuhudia maandamano kiasi gani duniani? Kwa habari zaidi tafadhali GONGA hapa.