Hakuna kitu ambacho wapiga picha wa rais Jakaya Kikwete hujitahidi kama kupiga picha zinazomuonyeshea uhalisia wake. Sasa muda na mikorogo vimeanza kuwaacha kiasi cha kujikuta hawana jinsi bali kutuletea Kikwete ambaye hatukumjua. Inapendeza sana. Hii inaonyesha ukweli kuwa wakati kweli ukuta ukifika unagota.