Monday, 3 December 2012

Njemba yaogopa kuvaa viatu ilivyonunuliwa na polisi

FacebookNjemba moja jijini New York isiyo na makazi imetoa mpya. Baada ya polisi mmoja kuikuta ikitembea peku peku tena wakati huu wa baridi kali, aliamua kuinunulia viatu vyenye thamani ya dola 100. Kwa mstuko wa polisi, juzi juzi aliikuta njemba ikidunda peku peku. Kisa eti vile viatu ni vya bei mbaya vinaweza kuisababishia njemba mauti! Kwa habari zaidi GONGA hapa.

No comments: