Sunday, 2 December 2012

Familia ya Kikwete bingwa wa kila kitu

Hakika huu ni usultani unaojengeka taratibu. Mume anapompa  mkewe tuzo kama ilivyotokea hivi karibuni ambapo rais Jakaya Kikwete pichani akimkabidhi tuzo  mkewe Salma wakati wa siku ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Dunia mjini Lindi juzi.

4 comments:

Anonymous said...

asante mheshimiwa Rais a.k.a Daktari kikwete endelea kutuongoza Wa Tanzania.

Anonymous said...

Asante Bi Salma kwa kazi ngumu unzofanya kwa jamii ya wa tanzania
ilikuwa upewe na shahada ya Phd pia lakini usife moyo wakati bado upo 1215

Jaribu said...

Au vipi wajameni, Bi Kikwete anastahili Phd kama mumewe. Si unajua, usawa wa jinsia!

Anonymous said...

hahahahahaaaaa...! Kazi kwelikweli bt she dsv't