Friday, 18 January 2013

Bongo ki-winter sisi li-winter5 comments:

Jaribu said...

Aisee Mhango, Texas huku ikiwa 30 degrees watu tunatafutana. Huko naona mnaimudu hiyo baridi!

NN Mhango said...

Huku na Texas kifo na usingizi ndugu yangu. Winter huku ni -37 na watu tunaishi utafanyaje? Nakushukuru Jaribu kwa kunipitia ugani.

Jaribu said...

Hamna tabu, Mhango. Ndege wa manyoya ya kufanana wanaruka pamoja, au something like that.

ntayega said...

Sheikh wangu baridi hilo l mbugani linakutoa jasho

NN Mhango said...

Ustaadh Ntayega kumbe huwa unapita bila kuacha unyayo! Najua maeneo ya Toronto hamna baridi kama huku. Anyways tuombeane lipite hili winter. Hicho kijasho hapo juu kisikutishe ni mambo ya mahanjumati ambayo bi mkubwa huyaita mahanjimati. Mpe zake salamu.